Mama Regina leo amehutubia maelfu ya wananchi wa Iringa waliojitokeza kumsikiliza. Mama Lowassa amewakumbusha wananchi na kuwaomba wamchague ndugu Edward Lowassa. Pia amewakumbusha wananchi siku ya kupiga kura kwamba ni jumapili ya tar 25 mwezi huu wa kumi na kwamba watu wajitahidi ku wahi kwenda kwenye vituo vyao vya kupigia kura
akiwa na Msigwa ambaye ni mgombea ubunge katika jimbo la Singida mjini.
No comments:
Post a Comment