Tuesday, October 13, 2015
Kim Kardashian aungana da dada zake pamoja na mama yao kwenye sherehe ya miaka 50 ya cosmopolitan magazine
kutoka kulia ni Kylie Jenner, Kris Jenner (mama yao), Kim Kardashian, Kourtney Kardashian na Khloe Kardashian. Aliyekosekana kwenye picha ni Kendal Jenner ili kukamilisha wanawake kutoka familia ya Kardashian na Jenner(aliyejigeuza kuwa mwanamke).
Kim akionyesha tumbo lake kwenye red carpet
Kris na mkurugenzi wa cosmopolitan magazine Joanna Coles
Labels:
WASANII
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment