SABABU NA JINSI YA KUONDOA WEUSI KATIKATI YA MAPAJA
SABABU
wengi wanadhani sababu ya weusi kati kati ya mapaja ni uchafu lakini sio kweli bali weusi unasababishwa na
-msuguano wakati wa kutembea
-pedi wakati wa hethi (wengine zinawachubua hasa ukivaa muda mrefu na pakipona panakuwa peusi)
-unene
-kutokuwa na uwiano wa hormone za kike (progesterone and estrogen)
JINSI YA KUONDOA WEUSI
*kawaida kwa watu wanene ni ngumu kidodo ila kwa wembamba ni rahisi sana*
*vifaa
SIKU YS KWANZA
-juice ya limao
-mafuta ya nazi
-vaseline au lotion(itazuia msuguano)
* jinsi ya kutumia
-mafuta ya nazi kijiko cha chakula 3
-juice ya nusu limao
**changanya kisha paka sehemu husika kwa muda wa dakika 15 kisha osha kausha ngozi yako kisha upake vaseline au lotion
SIKU YA PILI
-sukari
-asali
-limao
*jinsi ya kutumia
-sukari kijiko cha chakula 1
-asali kijiko cha chakula 1
**changanya kisha paka sehemu husika kwa muda wa dakika 10 kisha osha kausha ngozi yako kisha upake vaseline au lotion
SIKU YA TATU
-limao kama kawaida nusu
-kiazi
*jinsi ya kutumia
-kata kiazi katikati halafu sugua sehemu husika kama vile unapaka kwa muda wa dakika kama moja
**osha na upake juice ya limao ikae kwa muda wa dakika 10 au zaidi then osha kausha ngozi yako na upake vaseline au lotion
[hii ya siku ya tatu utaendelea nayo mpaka uone matokeo]
'ONYO'
--usije ukajaribu kutumia cream ya kuchubua kuondoa weusi maana pakija kusuguana patakuwa pekundu, patachubuka, utapata vidonda, maumivu na unaweza kusababisha matatizo makubwa
Kiazi kipi kinatumika
ReplyDelete