GENEVIEVE NNAJI ALIVUMA SANA MIAKA YA 90s NA KUENDELEA. NAKUMBUKA MOVIE ILIYOVUMA SANA NI 'POWER OF LOVE' AMBAYO ALICHEZA NA RAMSEY NOAH
RAMSEY NOAH
RICHARD MOFE DAMIJO ALIVUMA SANA KWENYE MOVIE INAITWA 'THE PRINCE' AMBAPO ALICHEZA KAMA PASTOR KWA JINA LA PASTOR KEN
NKERUKA SYLVANUS ALIVUMA KWENYE MOVIE INAITWA 'A CRY FOR HELP NA ALIJULIKANA KAMA BLESSIN
EUCHARIA ANUNOBI NADHANI WENGI MNAMKUMBUKA NA MOVIE ALIZOCHEZA BAADHI. SASA IVI NI MCHUNGAJI
PATIENCE OZOKWOR a.k.a MAMA G. KUNA MOVIE SIIKUMBUKI ALIKUWA ANAITWA MAMA EMEKA KUANZIA HAPO NILIMUITA MAMA EMEKA NADHANI WATU WENGINE PIA WANAMUITA MAMA EMEKA
FLORENCE ONUMA. HUYU MAMA NAE ANAIGIZA ROHO MBAYA KAMA MAMA EMEKA
LIZ BENSON
CLARION CHUKWURAH
NGOZI EZEONU
HILDA DOKUBO. HUYU MAMA MOVIE ZAKE ZOTE ZA KUTIA HURUMA NILIKUWA NALIA KWELI NIKIANGALIA
No comments:
Post a Comment