Sunday, October 11, 2015

Mwenyekiti wa CCM Kinana apata aibu ya nusu karne tangu kuanzishwa kwa CCM, atoweka sehemu ya tukio bila kuaga

HABARI KUTOKA MUHAMBWE-KIBONDO
katika hali ya kushangaza na ambayo haijawahi kutokea kwa ccm, mwenyekiti wa CCM ameshangazwa kufika kwenye mkutano na kutokuta watu. hii ilitokana na kutoelewana kwa wanachama wa ccm ambapo wamejigawa makundi yaliyokuwa yanaunga mkono wagombea ubunge wawili tofauti wote kutoka ccm.
   hali haikuwa nzuri katika sehemu ya tukio maana wahusika walikuwa wanarushiana ngumi wenyewe kwa wenyewe kisa kilichomfanya mwenyekiti Kinana kuondoka bila kuaga.
   Hili tukio limempata Kinana baada ya vikao walivokaa wana ccm amabapo waliamua yeye ndio apewe chopa azunguke maana January na Nchemba hawakuitenda kazi ya kampeni ki ufanisi

No comments:

Post a Comment