LOWASSA AVUNJA REKODI TANGA. HII NI HISTORIA AMBAYO HAIJAWAHI KUTOKEA TANZANIA TANGIA VYAMA VINGI VILIPOANZISHWA MWAKA 1992. WATU WAMEHUDHURIA WENGI KIASI CHA KUKOSA HEWA NA KUKANYAGANA KATIKA VIWANJA VYA TANGAMANO MJINI TANGA
hawa ni baadhi ya wananchi waliozimia baada ya kukosa hewa na kukanyagana walipokuwa kwenye mkutano.
waliozimia wakipatiwa huduma na chama cha msalaba mwekundu
wakiendelea kupatiwa huduma na wengine kupelekwa hospitali
ssehemu ya maelf ya watu waliohudhuria katika mkutano wa mh Lowassa mjini Tanga
maelf ya watu katika viwanja vya Tangamano mjini Tanga
wakionyesha mabango yenye jumbe tofauti tofauti
maelf ya wahudhuriaji Tangamano mjini Tanga
pamoja na mvua kuanza kunyesha lakini watu hawakutaka kuondoka
No comments:
Post a Comment