Tuesday, September 15, 2015

VYAKULA



 

FAIDA ZA GREEN JUICE (JUICE YA KIJANI)
1.matango- yanasaidia kupunguza uvimbe, yana maji ya kutosha kusaidia mzunguko wa damu na   kupungua  magonjwa ya moyo
2 ndimu au limao-ina vitamini C, inapunguza kichefu chefu, inmalinda mwili usishambuliwe na magonjwa na inasaidia katika mmeng'enyo wa chakula
3.tangawizi inasaidia kwenye mmeng'enyo wa chakula, inapunguza kuguruma kwa tumbo na pia inaleta ladha nzuri kwenye juice.
4.spinach-spinach ina vitanim na madini ya kutosha kama vile vitamin A, B1, B2, B6, C, E na K. Madini kama vile potassium, chuma, copper, magnesium, folate, manganese na pia ina nyuzinyuzi zinazosaidia katika mmeng'enyo wa chakula hivyo hukukinga na magonjwa hatari kama vile cancer ya utumbo na magonjwa mengine
*Green juice inasaidia sana katika kupunguza uzito maana unaweza kunywa yenyewe tu bila chakula kingine na ikakupa virutubisho vyote muhimu na hivyo huhitaji sana vyakula vitakavyokufanya uwe na mafuta mengi mwilini.

No comments:

Post a Comment