GENEVIEVE NNAJI ALIVUMA SANA MIAKA YA 90s NA KUENDELEA. NAKUMBUKA MOVIE ILIYOVUMA SANA NI 'POWER OF LOVE' AMBAYO ALICHEZA NA RAMSEY NOAH


RAMSEY NOAH


NKERUKA SYLVANUS ALIVUMA KWENYE MOVIE INAITWA 'A CRY FOR HELP NA ALIJULIKANA KAMA BLESSIN


EUCHARIA ANUNOBI NADHANI WENGI MNAMKUMBUKA NA MOVIE ALIZOCHEZA BAADHI. SASA IVI NI MCHUNGAJI


PATIENCE OZOKWOR a.k.a MAMA G. KUNA MOVIE SIIKUMBUKI ALIKUWA ANAITWA MAMA EMEKA KUANZIA HAPO NILIMUITA MAMA EMEKA NADHANI WATU WENGINE PIA WANAMUITA MAMA EMEKA


FLORENCE ONUMA. HUYU MAMA NAE ANAIGIZA ROHO MBAYA KAMA MAMA EMEKA

LIZ BENSON

CLARION CHUKWURAH

NGOZI EZEONU

HILDA DOKUBO. HUYU MAMA MOVIE ZAKE ZOTE ZA KUTIA HURUMA NILIKUWA NALIA KWELI NIKIANGALIA
No comments:
Post a Comment