
hawa ni baadhi ya wananchi waliozimia baada ya kukosa hewa na kukanyagana walipokuwa kwenye mkutano.

waliozimia wakipatiwa huduma na chama cha msalaba mwekundu

wakiendelea kupatiwa huduma na wengine kupelekwa hospitali

ssehemu ya maelf ya watu waliohudhuria katika mkutano wa mh Lowassa mjini Tanga

maelf ya watu katika viwanja vya Tangamano mjini Tanga

wakionyesha mabango yenye jumbe tofauti tofauti

maelf ya wahudhuriaji Tangamano mjini Tanga

pamoja na mvua kuanza kunyesha lakini watu hawakutaka kuondoka
No comments:
Post a Comment