Wednesday, September 30, 2015

HABARI

Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Damian Lubuva ambae pia ni jaji mstaafu ameihakikishia serikali kwamba uchaguzi wa mwaka huu utakuwa wa amani na hakuna atakayeiba kura. Ameongeza kuwa ulinzi utakuwa mzuri na wasimamizi wote wamesisitiziwa kuwa waaminifu katika uchaguzi huu. Amesema kama alivyowajulisha watanzania hapo awali kwamba kura zote zitahesabiwa vituoni na kutoa majibu ya udiwani, ubunge na uraisi katika kila kituo hivyo hakuna mabox ya kura yatakayosafirishwa mwaka huu.

No comments:

Post a Comment